.

MKAPA ATOA USHAHIDI KESI YA PROFESA MAHALU

May 7, 2012

Rais Mstaafu Benjamin Mkapa akitoka katika Mahakama ya Hakim Mkazi Kisutu Dar es Salaam, baada ya kutoa ushahidi wake katika  kesi ya uhujumu uchumi wa zaidi ya euro milioni 2, sawa na sh bilioni 3 inayomkabili aliyekuwa Balozi wa Tanzania nchini Italia, Profesa Costa Mahalu, na Grace Martin.

0 Comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

ª