.

PROMOSHENI YA 'VUMBUA HAZINA CHINI YA KIZIBO' YA KAMPINU YA BIA YA SERENGETI YAANZA KUTEMA: WASHINDI WAZAWADAIWA JENERETA LEO

May 13, 2012

Meneja wa bia ya serengeti .Allan Chonjo akimkabidhi Agness Msengi, jenereta aliyojishindia katika promosheni ya 'Vvumbua Hazina chini ya Kizibo" inayoendeshwa na kampuni ya Bia ya Serengeti Lrd (SBL) makabidhiano hayo yamefanyika leo mjini Dar es Salaam. (Picha kwa hisani ya HABARI MSETO BLOG
 Menja wa bia ya Serengeti, Allan Chonjo akimkabidhi Amadeus Minja, jenereta aliyojishindia kupitia promosheni ya Zindua Hazina Chini ya Kizibo  inyoendeshwa na kampuni ya Bia ya Serengeti Ltd (SBL)
Wahindi wakiwa katika shamrashamra na cherekochereko baada ya kukabidhiwa zawadi zao

0 Comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

ยช