Mwenyekiti wa CCM, Rais Kikwete na viongozi wenzake wakiwa wameketi meza kuu tayari kuanza kikao
Katibu Mkuu akitoa maelezo ya utangulizi kabla ya kikao
Wajumbe wa Sekretarieti, Nape Nnauye (Itikadi na Uenezi), Januari Makamba (SUKI), Asha Abdallah Juma (Oganaizesheni), na Naibu Katibu Mkuu wa CCM (Zanzibar) Vuai Ali Vuai wakiwa kwenye kikao hicho. Kulia ni Makamu wa Rais, Dk. Mohamed Gharib Bilal na Waziri Mkuu, Mizengo Pinda
Kikao kikiendelea
Mwigulu na Asha Juma wakijadili jambo
Shamsa Mwangunga na Aisha Kigoda wakijadili jambo kwa makini sanaaaaaa ukumbini
Katibu Mkuu mstaafu wa CCM Yussuf Makamba akiteta jambo na Naibu Waziri Adamu Malima
Watu kikaoni
Wajumbe wa NEC wakisalimiana nje ya ukumbi. Kushoto ni Asha Baraka, Meya wa Ilala Jerry Silaa na Madabiba
Katibu Mkuu wa UVCCM, Martin Shigella akizungumza nje ya ukumbi na William Kusila na Waziri Profesa Jumanne Maghembe
Mwisho: Mzee Kingunge Ngombale-Mwilu akienda ukumbini
No comments:
Post a Comment
Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269