Breaking News

Your Ad Spot

May 4, 2012

UGENI MZITO WA ZAMBIA NA MSUMBIJI WAKUTANA NA KATIBU MKUU WA CCM LEO

Katibu Mkuu wa CCM, Wilson Mukama akizungumza na Balozi wa Zambia hapa nchini Judith Kangoma-Kapijimpanga, Ofisini kwake, Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Mtaa wa Lumumba, Dar es Salaam, leo May 4, 2012 
 Katibu Mkuu wa CCM, Wilson Mukama akiagana na Balozi wa Zambia hapa nchini Judith Kangoma-Kapijimpanga, baada ya mazungumzo hayo, Ofisini kwake, Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Mtaa wa Lumumba, Dar es Salaam, leo May 4, 2012 
 Katibu Mkuu wa CCM, Wilson Mukama na ujumbe wake (kulia) wakizungumza na Mjumbe wa  Kamati Kuu ya Chama Cha Frelimo, Conceita Sortane (wapili kushoto) katika ukumbi wa Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, mtaa wa Lumumba jijini Dar es Salaam, leo Mei 4, 2012. Kulia ni Balozi wa Msumbiji hapa nchini Amour Zacharias Kupela na Kushoto ni Mjumbe wa NEC, Itikadi na Uenezi CCM, Nape Nnauye.
 Mukama akimpa zawadi ya kofia mjumbe huyo wa Kamati Kuu ya Chama Cha Frelimo baada ya mazungumzo hayo.
 Conceita akifurahia kitenge cha CCM alichokabidhiwa na Mukama
 Ujumbe wa Mjumbe huyo wa Kamati Kuu ya Frelimo ukawa katika picha ya Pamoja na Ujumbe wa Katibu Mkuu wa CCM, Mh. Mukama baada ya mazungumzo yao.
Kisha Katibu Mkuu wa CCM, Mukama akaagana na mgeni wake na Nape naye akaagana na Balozi Kupela

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages