Breaking News

Your Ad Spot

Jun 15, 2012

DK. BILAL AZINDUA MRADI WA KUINUA UBORA WA ELIMU YA MSINGI 'TZ 21 CENTURY BASIC EDUCATION PROGRAM' MTWARA.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiwaangalia na kuwasikiliza wanafunzi wa Shule ya Msingi Kambarage, walipokuwa wakijifunza kwa njia ya Kompyuta wakati alipofika shuleni hapo leo Juni 15, 2012, kwa ajili ya kuzindua Mradi wa Kuinua Elimu ya Msingi ijulikanayo kama 'Tz 21 Century Basic Education Program, mradi uliofadhiliwa na Shirika la Kimataifa la Maendeleo la Marekani (USAID). Kulia ni Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi Stadi, Shukuru Kawambwa (kushoto) ni Mtaalam wa Mitaala wa Mradi huo, Adrehem Kayombo. Picha na Muhidin Sufiani-OMR.

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages