Doris Kasaka (Kapinga) jana alifanyiwa Kitchen Paty ya nguvu kwenye ukumbi wa Shirika la Viwango Tanzania (TBS). Hii ndiyo keki iliyokuwa moja ya vivutio kwenye mnuso huo. Picha zaidi zimo kwenye Ukurasa Maalum wa mambo ya Kijamii na Minuso, sasa BOFYA HAPA
No comments:
Post a Comment
Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269