Breaking News

Your Ad Spot

Jun 13, 2012

KATIBU MKUU WA CCM, AKABIDHI TREKTA KWA WAKULIMA WA KWADELO,KONDOA

 Katibu Mkuu wa CCM, Wilson Mukama, akimkabidhi trekta, Diwani wa Kata ya Kwadelo, wilaya ya Kondoa mkoa wa Dodoma, Alhaj, Omary Kariati, kwenye Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba jijini Dar es Salaam. Trekta hiyo ambayo imenunuliwa kutoka  Suma J KT, ni kwa ajili ya Chama Cha Maendeleo ya Kata hiyo ya Kwadelo chini ya Kwadelo Ward Development Commitee (KWDC).
 Diwani wa Kata ya Kwadelo,  Alhaji  Omary Kariati, akilijaribu trekta baada ya kukabishiwa na Mukama (kushoto).
 Mukama akizungumza baada ya makabidhiano hayo.

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages