Rais Jakaya Kikwete akimwapisha, Katibu Tawala mpya wa mkoa wa Ruvuma, Hassan Mpapi Bendeyeko, Ikulu jijini Dar es Salaam leo asubuhi.
Mkurugenzi wa Taasisi ya Taaluma za Kiswahili TATAKI Dk. Aldin Mutembei akimkabidhi Rais Dk. Jakaya Mrisho Kikwete kitabu cha kwanza cha fasihi simulizi ya Jamii ya Wakwere, Ikulu jijini Dar es Salaam leo.Kulia ni Mkuu wa Idara ya historia katika Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, Profesa Kapepwa Tambila. Dk.Mutembei ambaye pia ni mchapishaji na msimamizi wa tafiti za tamaduni lugha na fasihi za makabila ya Tanzania alikabidhi pia kamusi Asisi ya Kiingereza-Kiswahili na Kiarabu: Picha na Freddy Maro
Your Ad Spot
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Post Top Ad
Your Ad Spot


No comments:
Post a Comment
Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269