Breaking News

Your Ad Spot

Jun 12, 2012

NGELEJA, MFUTAKAMBA WAMPONGEZA MBATIA

Aliyekuwa Waziri wa Nishati na Madini, Mbunge wa Sengerema William Ngeleja, na Naibu Waziri wa zamani wa Uchukuzi, mbunge wa Igalula, Athumani Mfutakamba wakiwa na mbunge wa kuteuliwa na Rais Jakaya Kikwete, James Mbatia, ambaye alikuwa mgombea Ubunge jimbo la Kawe katika uchaguzi mkuu uliopita. Njeleja na Mfutakamba walikuwa wakimpongeza Mbatia baada ya kuapishwa leo Bungeni mjini Dodoma. Watoto ni familia ya Mbatia.

1 comment:

  1. asante kwa kutumia picha yangu ya mbatia, ngeleja na mfutakamba. kumbe na mimi wamo eeehh!

    from noor shija, dodoma

    ReplyDelete

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages