Breaking News

Your Ad Spot

Jun 20, 2012

RAIS KIKWETE AKUTANA NA VIONGOZI WAMIFUKO YA HIFADHI YA JAMII NA SHIRIKA LA NYUMBA


Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika mkutano na viongozi wa mifuko ya hifadhi ya Jamii na Shirika la Nyumba la taifa ikulu mjini Dodoma leo.Katika kikao hicho Mheshimiwa Rais aliwapa changamoto viongozi hao  kuunganisha nguvu na kubuni mikakati itakayowezesha kuwapatia watumishi wa umma nyumba za kuishi
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na Viongozi wa Mifuko ya Hifadhi ya Jamii na shirika la Nyumba la Taifa mara baada ya kikao maalumu kilichofanyika ikulu mjini Dodoma leo. viongozi Wengine waandamizi w aliohudhuria kikao hicho Naibu Waziri wa Ardhi Goodluck ole Medeye(watatu kushoto),Katibu Mkuu kiongozi Balozi Ombeni Sefue(Wanne kushoto),Gavana wa Benki Kuu Professa Beno Ndulu(kulia) na naibu katibu Mkuu Hazina Dr.Servacius Likwelile(kushoto). Katika kikao hicho Mheshimiwa Rais aliwapa changamoto viongozi hao  kuunganisha nguvu na kubuni mikakati itakayowezesha kuwapatia watumishi wa umma nyumba za kuishi

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages