Breaking News

Your Ad Spot

Jun 20, 2012

MWILI WA OGUNDE WA JAMBO LEO WAAGWA LEO, KUZIKWA SERENGETI

 RIP Ogunde
 Baadhi ya waombolezaji wakipokea jeneza lenye mwli wa aliyekuwa Mhariri Mkuu wa gazeti la Jambo Leo, Willy Edward Ogunde, baada ya kuwasilishwa leo kwenye Viwanja vya Mnazi Mmoja, Dar es Salaam, kwa ajili ya kuagwa kabla ya kupelekawa Wilaya ya Serengeti mkoani Mara ambalo utazikwa.
 Mwenyekiti wa Jukwaa la wahariri, Absalom Kibanda (aliyeshika picha ya marehemu) akiongoza msafara kuingia viwanja vya Mnzi Mmoja.
Mwili wa marehemu Ogunde uliokuwa katika jeneza  ukiombewa kwa sala maalum
 Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM, tkadi na uenezi, Nape Nnauye, Mwenyekit wa CUF, Profesa Ibrahim Lipumba na Menyekiti wa kampuni za IPP, Reginald Mengi wakiwa katika shughuli hiyo ya kuaga mwili wa marehemu Ogunde
 Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni ya Jambo Concpt Juma Pinto akisalimiana na Mengi kwenye msiba huo. Kushoto ni Nape na Propfesa Lipumba. jambo Concept ndiyo Kampuni mama inayoendsha gazti la Jambo Leo alilokuwa akifanya kazi Ogunde.
 Baadhi ya wahariri wakijadili jinsi ya kufanikisha shughuli hiyo ya kuuaga mwili wa marehemu Ogunde
 Waombolezaji wakiwa kwenye msiba huo
 Mkurgenzi wa bendi ya Twanga Pepeta. Asha Baraka akiingia kenye viwanja vya Mnazi Mmoja pamja na baadhi ya wanamuziki wa bendi hiyo
Baadhi ya waombolezaji wakiwa katika sare maalum za maombolezo ya kifo cha Ogunde
 Waombolezaji wakiwa kwenye msiba huo
 Mkurugenzi wa Jambo Concept, Benny Kisaka akisoma wasifu wa marehemu Ogunde
 Mengi akizungumza kwa niaba ya wamiliki wa vyombo vya habari nchni
 Mengi akimfariji kaka wa marehem Ogunde. Kulaia ni Pinto
Kibanda akizungumza kwa niaba ya Jukwaa la wahariri
 Profesa Lipumba akizungumza kwa niaba ya chama chake cha CUF
 Pof Lipumba akitoa pole kwa familia ya marehemu
 Nape akzungumza kwa niaba yake na kwa niaba ya Chama Cha Mapinduzi
 Nape akiafariji familia ya marehemu
 Issa Michuzi wa Michuzi Blog na Bashir Nkoromo wa Daily Nkoromo Blog wakiwa kweny msiba huo
 Waombolezaji wakiwa kwenye foleni kubwa kwenda kutoa heshima za mwisho kwa mwili wa marehemu Ogunde
Hii ndiyo familia lioachwa na Marehemu Ogunde, ni Mjane na watoto watatu

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages