Breaking News

Your Ad Spot

Jun 20, 2012

WILLY EDWARD KUWAGWA LEO MNAZI MMOJA DAR

Mwili wa aliyekuwa  Mhariri Mkuu wa gazeti la Jambo Leo, Willy Edward Ogunde unaagwa asubuhi hii kwenye viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam.

  Taarifa iliyopatikana leo imesema, mwili wa Ogunde aliyefariki wiki iliyopita, utaagwa kuanzisa saa tatu asubuhi hii, na baadaye utasafirishwa kwenda Serengeti mkoani Mara kwa ajili ya mazishi

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages