Breaking News

Your Ad Spot

Jun 20, 2012

VISA VYA MYIKA BUNGENI DODOMA

Mbunge wa Ubungo, John Mnyika akisindikizwa na askari wa Bunge wakati akitoka nje ya bunge baada ya Naibu Spika wa Bunge Job Ndugai kumtaka kufanya hivyo kutokana na kukataa kufuta kauli chafu aliyotoa wakati akichangia banjeti, jana.

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages