Breaking News

Your Ad Spot

Jun 27, 2012

SAKATA LA DK. ULIMBOKA KUPIGWA NA WATU WASIOJULIKANA

Madaktari wa Hospitali ya Taifa ya Muhimbili, Dar es Salaam, wakimwingiza kwenye gari la wagonjwa Mwenyekiti wa Jumuia ya Madaktari Tanzania, Steven Ulimboka, kumpeleka kwenye Taasisi ya Mifupa (MOI) baada ya kufikishwa hospitali leo, baada ya kujeruhiwa vibaya kwa kipigo na watu wasiojulikana, waliomteka usiku wa kuamkia leo, katika eneo la Mabwepande.             Picha zaidi za tukio hili BOFYA HAPA

1 comment:

  1. Huu sasa ni unyama, najiuliza kama madakitari wamegoma ni nani atamtibu?

    ReplyDelete

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages