Breaking News

Your Ad Spot

Jun 14, 2012

STARS WAKABIDHIWA BENDERA LEO

 Nahodha wa timu ya Taifa ya Tanzania Juma Kaseja (kushoto) akipokea bendera ya Taifa kutoka kwa Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam, Mecky Sadiki wakati wa kuaga timu hiyo inayokwenda Msumbiji kucheza mechi ya marudiano ya kufuzu Mataifa Afrika 2013 dhidi ya Mambaz.

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages