Breaking News

Your Ad Spot

Jun 14, 2012

REDDS MISS WORLD TANZANIA WAINGIA KAMBINI

Washiriki wa shindano la Redds Miss World Tanzania 2012 wakiwa kwenye kambi yao iliyopo kwenye Hotel ya Kitalii ya Giraffe jijini Dar Es Salaam tayari kwa shindano lao la jumamosi hii kumpata mwakilishi wa Taifa.Toka kuliaGloryblaca Mayowa (Lindi) Hamisa Hassan (Kinondoni) Queen Saleh (Ilala) Christine Willium (Iringa) Pendo Laizer (Arusha) Lisa Jensen (Mara) Mwajuma Juma (Temeke) Neema Saleh (Ilala) Jeneffer Kalolaki (Ilala) Stella Mbuge (Kinondoni)

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages