Breaking News

Your Ad Spot

Jun 13, 2012

DALADALA DAR WAENDELEA KUMPIMA UBAVU DK. MWAKYEMBE

Baadhi ya abiria waliokuwa katika daladala hili lenye namba za usajili T303 BAJ, wakitokea Kariakoo kwenda Kawe, wakilazimika kushuka  kwenye kituo cha Usalama, Magomeni, baada ya kondakta na utingo wa daladala hilo, kuamua kukatisha ruti ya kwenda Kawe na kutangaza kuwa wanakwenda Manzese, leo saa 11 jioni, Naomba mwenye namba ya Waziri wa Uchukuzi, Dk. Harrison Mwakyembe ampe salamu hizi.

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages