.

AJALI YA MELI: WABUNGE WAMFARIJI DK. SHEIN

Jul 19, 2012

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akizungumza na Wabunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,wakiongozwa na Waziri wa Ulinzi Mhe,Shamsi Vuai
Nahodha,walipofika Ikulu Mjini Zanzibar kumpa pole Rais kutokana na ajali ya Meli ya Mv SKAGIT ya Kampuni ya SEAGUL iliyotokea jana, ikiokea Dar es Salaam kwenda Zanzibar.[Picha na Ramadhan
Othman,Ikulu.]

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akisalimiana na  Wabunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,wakiongozwa na Waziri wa Ulinzi Mhe,Shamsi Vuai
Nahodha,walipofika Ikulu Mjini Zanzibar kumpa pole Rais kutokana na ajali ya Meli ya Mv SKAGIT ya Kampuni ya SEAGUL iliyotokea jana, ikitokea Dar es Salaam kwenda Zanzibar.[Picha na Ramadhan
Othman,Ikulu.]

1 Comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

ª