.

DK. SHEIN ATOA RISALA KUUKARIBISHA MWEZI MTUKUFU WA RAMADHABNI

Jul 19, 2012

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein,akitoa Risala ya Mwezi Mtukufu wa Ramadhan,kwa  wananchi na kuwataka kufanya Ibada kwa Bidii,hata hivyo Mhe, Rais aliwakumbusha wananchi kufanya mambo muhimu yaliyowajibu kufanywa katika mwezi huo ili kufanikiwa hapa Duniani na kesho Akhera. [Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]

0 Comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

ª