.

JENGO LA GHOROFA LASHIKA MOTO DAR ES SALAAM

Jul 1, 2012

Jengo la Ghorofa lililopo mitaa ya Kariakoo na Livingstone, jijini Dar es Salaam, likiwa limeshika moto leo mchana kutokana na sababu ambazo hazijajulikana mara moja. Chumba kimoja kilichokuwa na chupa kibao za manukato kimeteketea. (Picha na Emmanuel Ndege).

0 Comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

ยช