.

KOCHA MPYA WA YANGA AANZA KAZI

Jul 6, 2012

  Kocha mpya wa Yanga, Tom Saintfiet kutoka Ubelgiji akiwasili katika uwanja wa mazoezi wa Yanga katika eneo la Kijitonyama jijini Dar es Salaam.
  Kocha mpya wa Yanga, Tom Saintfiet kutoka Ubelgiji akiwafunda wachezaji wa Yanga kabla ya kuanza mazoezi,  eneo la Kijitonyama jijini Dar es Salaam. (Picha kutoka Habari Mseto Blog) PICHA ZAIDI BOFYA HAPA KIDOGO

0 Comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

ª