.

Jul 6, 2012

Jackson  Kangoye

VIJANA wametakiwa kutumia juhudi na maarifa ili kuweza kujiajiri kupitia kilimo na ujasiriamali badala ya kusubiri ajira katika taasisi za serikali pekee. 
     Pia, wametakiwa kujiunga katika vikundi ili kupata fursa za kupata mikopo katika taasisi za fedha ili kuwawezesha kuanzisha miradi ya maendeleo. 
     Hayo yameelezwa na Mkurugenzi wa Taasisi ya Tanzania Youth Development Agency (TAYODA), Jackson Kangoye, wakati akizungumza na waandishi wa habari mjini Dar es Salaam, jana, kuhusu masuala mbalimbali ya taasisi hiyo. Habari zaidi  BOFYA HAPA 

0 Comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

ª