Wafanyakazi katika Banda la Kampuni ya simu za mkononi ya Zantel, wakimhudumia mteja katika banda hilo leo. Wanatoa huduma za kusajili line za simu, kusajili Esy Pesa, kuuza simu za mkoni na modem. Kutoka Kushoto ni, Rebecca Gakwandi, Carlolyne Yusto, Anne Richard, Halima Bukko, Editha Joseph.
Anne katika pozi wakati akisubiri wateja kwenye banda hilo
Anne katika pozi wakati akisubiri wateja kwenye banda la Zantel
Rebecca akiwa katika pozi wakati akisubiri wateja kwenye banda la Zantel leo
Your Ad Spot
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Post Top Ad
Your Ad Spot




No comments:
Post a Comment
Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269