.

TUME YA USHINDANI NDANI YA MAONYESHO YA SABASABA DAR

Jul 3, 2012

Kaimu Mkurugenzi wa  Mkuu wa Tume ya Ushindani, Allan Mlulla akizungumza na waandishi wa habari, leo, katika banda la Tume hiyo, kwenye Maonyesho ya 36 ya Kimataifa ya Biashara Dar es Salaam, kwenye Viwanja vya Mwalimu Nyerere jijini Dar es Salaam. Amezungumzia tume hiyo inavyotekeleza majukumu yake kwa mujibu wa sheria.

0 Comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

ª