.

AIRTEL NDANI YA VIWANJA VYA SABASABA DAR

Jul 3, 2012

Watoa huduma ya mambo ya Interneti kwenye banda la Kampuni ya simu za mkononi ya Airtel, wakiwa katika pozi la pamoja katika banda lao, leo kwenye Maonyesho ya 36 ya Biashara ya Kimataifa ya Dar es Salaam, aka 'Saba Saba', barabara Kilwa. Picha zaidi BOFYA HAPA

0 Comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

ยช