.

MWALIMU NYERERE ATUNUKIWA TUZO YA BURUNDI

Jul 3, 2012

Mwalimu Nyerere
BUJUMBURA,BURUNDI
Taifa la Burundi limemtunukia Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Nyerere Tuzo ya Juua ambayo nchi hiyo hutoa kwa watu mbali mbali kutokana na mchango wao katika kuleta uhuru na baadaye kwa jitihada zao kubwa za kuleta amani katika nchi hiyo.
Tuzo hiyo iitwayo 'Order of the National Republic of Burundi',   ilikabidhiwa kwa Rais Jakaya Kikwete, wakati wa kilele cha Maadhimisha ya Miaka 50 ya Uhuru wa Burundi yaliyofanyika juzi, eneo la Independence Road, pembeni mwa Uwanja wa Michezo wa Louis Rwagasore mjini Bujumbura.   Kupata habari hii kwa kina BOFYA HAPA AU HAPA

0 Comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

ยช