.

RAIS KIKWETE AWASILI NYUMBANI KUTOKA KWANDA NA BURUNDI

Jul 4, 2012

 Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete na Mama Salma Kikwete wakiwasili Uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam jana jioni wakitokea Burundi na Rwanda walikohuidhuria sherehe za miaka 50 wa uhuru wa nchi hizo. Anayeongozana nao ni Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe Saidi Mecky Sadik.
HABARI ZA HAPA NYUMBANI? Rais akizungumza na Mkuu wa Majeshi Jenerali Davis Mwamunyange na Mkuu wa Jeshi la Polisi, Inspekta Jenerali Said Mwema, baada ya kuwasili.

0 Comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

ª