.

KOCHA MPYA WA YANGA KUTUA LEO DAR ES SALAAM

Jul 4, 2012

KOCHA mpya wa timu ya Soka ya Yanga, raia wa Ubelgiji, Tom Sant anatarajiwa  kuwasili leo mjini Dar es Salaam,  akitokea Nigeria alikokiwa katika mipango ya kuwa Mkurugenzi Mkuu wa masuala ya soka nchini humo

0 Comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

ª