Timu ya mashabiki wa Man United wakishangilia na kombe lao baada ya kuibuka washindi katika michuano ya Bonanza la soka lililoandaliwa na Kampuni ya Bia ya Serengeti, kwenye Viwanja vya TCC Club, Temeke jijini Dar es Salaam. Iliibuka msindi baada ya kuikandika penalti 5-4 Barcelona. Picha zaidi ingia ukurasa wetu wa SPOTI;BOFYA HAPA
Your Ad Spot
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Post Top Ad
Your Ad Spot

No comments:
Post a Comment
Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269