.

YANGA WACHAGUA VIONGOZI WAPYA LEO

Jul 15, 2012

Mgombea Uenyekiti wa Klabu ya Yanga, Yusuf Manji na mgombea wa Umakamu Mwenyekiti wa Ktabu hiyo, Clement Sanga  wakiwa ukumbini wakati wa uchaguzi wa kuwapata viongozi wa klabu hiyo unaofanyika mchana huu kwenye ukumbi wa Diamond Jubilee jijini Dar es salaam.
Picha kwa hisani ya www.bongostaz.blogspot.com

0 Comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

ª