Rais Mstaafu wa awamu ya pili, Alhaji Ali Hassani Mwinyi akimkabidhi funguo za trekta, Mwenyekiti wa Kijiji cha Makilinya, Siraji Abdallah Mahingu, alipokabidhi trekta tatu kwa wakulima wa Kata ya Kwadelo, Kondoa mkoani Dodoma leo, hafla iloyofanyika nyumbani kwake, Masasani, Dar es Salaam. Kushoto kwake ni Diwani wa Kata ya Kwadelo, Alhaji Omari Kariate Picha zaidi BOFYA HAPA
Your Ad Spot
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Post Top Ad
Your Ad Spot

No comments:
Post a Comment
Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269