.

AIRTEL YAFUTURUSHA WATEJA WAKE ARUSHA

Aug 5, 2012

Meneja Huduma wa Airtel Tanzania, Hilda Nakajumo (kulia), pamoja na baadhi ya wateja wao wa kampuni, wakipakua chakula katika hafla ya futari waliyoiandaa kwa wateja wao, katika Hoteli ya Naura Springs
jijini Arusha jana. Kushoto ni Anne Gitarda na Evelyn James, wote kutoka katika ofisi za UN-ICTR jijini humo.
 Meneja Huduma wa Airtel Tanzania, Hilda Nakajumo (wa tatu kushoto), akizungumza na baadhi ya wateja wao wa makampuni, katika hafla ya futari waliyoiandaa kwa wateja hao, katika Hoteli ya Naura Springs jijini Arusha jana.
 Ofisa Mauzo kwa Wateja wa makampuni Mkoani Arusha, Chacha Matango (katikati) akimkaribisha mmoja wa wateja wao, Kennedy Adawo wa kampuni ya Kibo Guides, katika hafla ya futari waliyoiandaa kwa wateja wa makampuni, katika Hoteli ya Naura Springs, jijini Arusha jana. Kushoto ni Meneja Huduma wa Airtel Tanzania, Hilda Nakajumo.
 Baadhi ya wateja wa makampuni wa Airtel Tanzania wa Mkoani Arusha wakichota uji katika hafla ya futari iliyoandaliwa na Airtel Tanzania, katika Hoteli ya Naura Springs jijini Arusha jana.

Baadhi ya wateja hao wakichukua futari iliyoandaliwa na Airtel Tanzania kwa wateja wa makampuni jijini Arusha jana. HABARI KAMILI BOFYA TANZANIA VISION BLOG

0 Comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

ª