.

CHEKA AUNYEMELEA UBINGWA WA DUNIA

Aug 5, 2012

Shirikisho la Ngumi za kulipwa na Chama cha ngumi Cha Marekani (IBF/USBA) kipo katika mchakato wa kuidhinisha pamnbano la ubingwa wa mabara kati ya bingwa wa IBF Arika Francis Cheka na bingwa anayeshikilia ubingwa wa mabara Benjamim Simon wa Ujerumani. inaendelea BOFYA TANZANIA VISION BLOG

0 Comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

ยช