.

BREAKING NEWS, MAHAKAMA KUU KITENGO CHA KAZI YAPIGA CHINI MGOMO WA WALIMU

Aug 2, 2012

MAHAKAMA KUU KITENGO CHA KAZI IMEPIGA STOP MGOMO WA WALIMU KWA MAELEZO KWAMBA HATUA ZILIZOPITIWA KUUFANYA NI BATILI. tAARIFA AMBAZO MTANDAO HUU UMEPATA ZINASEMA, MAHAKAMA HIYO IMEMTAKA KIONGOZI ALIYETANGAZA MGOMO HUO, KUTANGAZA MARA MOJA KUUSITISHA.

0 Comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

ยช