.

ABC BANK WAFUTURISHA WADAU WAO DAR

Aug 2, 2012

 Mkurugenbzi Mkuu wa Benki ya ABC, Boni Nyoni (kushoto) akimshukuru Sheikh wa mkoa wa Dar es Salaam, Alhad Mussa, baada ya futru iliyoandaliwa na benki hiyo jana jioni kwenye Hoteli ya Serena jijini Dar es Salaam.
Baadhi ya mahanjumati kwenye futru hiyo. PICHA ZAIDIBOFYA:- TANZANIA VISION BLOG

1 Comments:

emu-three said...

NI VYEMA KABISA,....Lakini mimi nina ombi kwa haya makampuni na matajiri, tusiwasahau maskini na wasiojiweza, ili lengo la mwezi huu litimie!

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

ª