.

RAIS JAKAYA KIKWETE AZUNGUMZA NA TAIFA JIONI HII, LEO

Aug 1, 2012

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete alasiri ya leo, Jumatano, Agosti Mosi, 2012, atazungumza na taifa kupitia Mkutano wa Waandishi wa Habari utakaofanyika Ikulu, Dar es Salaam.
Mkutano huo utakaoanza saa 10 kamili utahudhuriwa na Wakurugenzi Wakuu, Wakurugenzi Watendaji, Wahariri Wakuu na Wahariri Watendaji na utatangazwa moja kwa moja na televisheni nchini. Rais anatumia fursa hii kuzungumza na wananchi kuuanza mwezi huu wa Agosti 2012. HOTUBA KAMILI YA MHESHIMIWA RAIS, BOFYA HAPA

0 Comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

ยช