Mchezaji nyota wa Rwanda Mbuyu Twite akizungumza na waandishi wa habari kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere, Dar es Salaam, alipowasili leo kukipiga katika timu ya Yanga. Picha zaidi:- BOFYA HAPA UKURASA WETU WA SPOTI
No comments:
Post a Comment
Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269