Breaking News

Your Ad Spot

Aug 26, 2012

RAIS KIKWETE AHESABIWA KATIKA SENSA YA WATU NA MAKAZI



Rais Jakaya Mrisho Kikwete na mkewe Mama Salma Kikwete wakiwa na familia yao, wakati Rais Kikwete akihojiwa na  kujibu maswali kutoka kwa karani wa sensa ya watu na makazi, Clement Ngalaba,  Rais alipojiunga na mamilioni ya Watanzania katika zoezi hilo lililoanza kufanyika leo Agosti 26, 2012, nchi nzima.
PICHA NA IKULU

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages