.

KWA NINI VINYOZI WENGI WANAFUGA NYWELE??

Aug 19, 2012

Kinyozi wa Mtazamo Hair Salon ya Kawe, Dar es Salaam,  Hussein Ibrahim ambaye ni kinyozi hodari lakini mwenyewe ana nywele kibao, akimnyoa Adam Lweno  leo, kwa ajili ya maandalizi ya kusherehekea Siku Kuu ya Eid El Fitr akiwa nadhifu. Kulia ni Bashir Nkoromo akipiga picha hii.

0 Comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

ª