.

USALAMA BARABARANI

Aug 7, 2012

NIMEKUONA TANGU KULEEEE! Inaelekea ndivyo alivyokuwa akisema huyu polisi wa usalama barabarani, alipomkamata  dereva wa daladala hili la Kariakoo, Buguruni, alilokumbana nalo kituo cha Bakhresa, Kariakoo leo

0 Comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

ª