.

WAZIRI MKUU PINDA ATUA ZANZIBAR KUTOA POLE AJALI YA MELI

Aug 3, 2012

 Rais wa Zanzibar, Dkt Ali Mohamed Shein akizungumza na Waziri Mkuu, Mizengo Pinda ambaye Agosti 3, 2012 alikwenda Ikulu ya Zanzibar kumpa pole kufuatia ajali ya meli ya Skagit iliyotokea mwezi uliopita. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Makamu wa Pili wa Rais wa  Zanzibar, Balozi Seif Iddi kwenye Ofisi za Baraza la Wawakilishi Mjini Zanzibar wakati alipokwenda kutoa pole kufuatia ajali ya meli ya Sagit iliyotokea mwezi uliopita. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

0 Comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

ª