Breaking News

Your Ad Spot

Sep 1, 2012

JENGA URAFIKI NA 'TANZANIA VISION BLOG'

Je wewe ni mpezi au shabiki wa mitandao ya Jamii katika kupashana habari, matangazo au maoni? Kama jibu lako ni ndiyo tumia muda wako kidooogo kuperuzi blogu hii ya Tanzania Vision upate habari motomoto za leoleo ambazo ni za ukweli kutoka vyanzo vya habari vya uhakika. Vilevile ukiipenda utakuwa umefanya jambo la mbolea ukiji-Link nayo kwenye mtandao wako kama blog au facebook:-BOFYA HAPA

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages