Breaking News

Your Ad Spot

Sep 17, 2012

KWADELO WAPATA MSAADA WA MABATI KWA AJILI YA SHULE YAO

Diwani wa Kata ya Kwadeko iliyopo Kondoa Mkoani Dodoma Alhaji Omari Kariati (wa kwanza kushoto), akikabidhi moja kati ya mabati 76 kwa wananchi kwa ajili ya ujenzi wa madarasa mawili ya Shule ya Msingi ya Kwadelo. Mabati hayo yametolewa kwa ushirikiano wa Waziri wa Maliasili na Utalii Balozi Khamis Kagasheki na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Benard Membe
Diwani huyo akimkabidhi mabati hayo kwa Mwenyekiti wa Kamati ya Shule hiyo Abdallah Bakari: HABARI KAMILI BOFYA HAPA

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages