Breaking News

Your Ad Spot

Sep 21, 2012

TBL YAZIKABIDHI YANGA NA SIMBA MABASI MAPYAA YA YUTONG

Haya ndiyo mabasi ya kisasa yaliyonunuliwa na TBL kwa sh. milioni 450 ambayo leo imezikabidhi timu za Yanga na Simba, leo, Makao Makuu ya TBL, Ilala jijini Dar es Salaam. Yana uwezo wa kubeba watu 51 akiwemo dereva. Yana TV, Muziki mkubwa kutoka spika nane, full kinyoyozi na friji la vinywaji. PICHA KIBAO ZA TUKIO HILI:- BOFYA HAPA, UKURASA WA SPOTI

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages