MMILIKI na Mkufunzi wa Chuo cha Kimataifa cha Teknolojia ya kutokata umeme wakati wa matengenezo cha MacDonald Live line Technology Ltd, Donald Mwakawele akionyesha jinsi ya kubadilisha vikombe kwenye maungio ya nyanya za umeme, huku umeme ukiwa haukukatwa, wakati wa wataalam wa umeme kutoka mashirika na kampuni za umeme kutoka nchi 18 za nje, walipotembelea chuo hicho, kilichopo Wilayani Mvomelo mkoani Morogoro, janai. Chuo hicho kinatarajiwa kuzinduliwa na Rais Jakaya Kikwete Novemba mwaka huu. PICHA ZAIDI ZA ZIARA HIYO:- BOFYA HAPA
Your Ad Spot
Sep 14, 2012
Home
Unlabelled
WATAALAM KUTOKA NCHI 18 ZA NJE WATEMBELEA CHUO CHA TEKNOLOJIA YA KUTENGENEZA UMEME BILA KUKATA, MOROGORO

Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Post Top Ad
Your Ad Spot
No comments:
Post a Comment
Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269