Breaking News

Your Ad Spot

Sep 12, 2012

RAIS KIKWETE ZIARANI NCHINI KENYA

Rais Jakaya Kikwete akipokewa rasmi na Rais Mwai Kibaki wa Jamhuri ya Kenya mara baada ya Rais Kikwete kuwasiri kwenye uwanja wa ndege wa kimataifa wa Jomo Kenyatta huko Nairobi kuanza ziara ya kiserikali ya siku tatu nchini Kenya tarehe 11-13.9.2012. Picha na John Lukuwi-MAELEZO
PICHA ZAIDI:-BOFYA HAPA TANZANIA VISION BLOG

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages