Breaking News

Your Ad Spot

Sep 12, 2012

MAHAKAMA YA KIMBARI KUSIKILIZA KESI YA MAWAZIRI WAWILI OKTOBA 8

ARUSHA, TANZANIA
Mahakama ya Rufaa ya Mahakama ya Kimataifa ya Mauaji ya Kimbari ya Rwanda (ICTR) itasikiliza kesi ya rufaa  inayowakabili mawaziri wawili wa zamani wa Rwanda, Justin Mugenzi na Prosper Mugiraneza Oktoba 8, 2012.

Kwa mujibu wa ratibu iliyotolewa Jumatatu, mawakili wa utetezi watakuwa wa kwanza kuwasilisha hoja zao na kufuatiwa na upande wa mashitaka ambao haukuwasilisha mbele ya mahakama hiyo rufaa yoyote katika kesi hiyo.INAENDELEA, BOFYA HAPA

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages