Breaking News

Your Ad Spot

Sep 22, 2012

YANGA YAJIKOSHA, YAICHAPA 4-1 JKT RUVU

Yanga wakishangilia bao la pili kwenye mechi hiyo


Yanga ikiwa na kocha wake msaidizi  Fred Felix Minziro, leo imerejesha matumaini ya mashabiki wake, baada ya kufanikiwa kupata ushindi wa mabao 4-1 dhidi ya JKT Ruvu  katika mechi ya Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara, iliyopigwa kwenye Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam.

Ushindi huo umeonekana kuwapoza mashabiki machungu waliyopata baada ya timu hiyo kupigwa tatu bila mjini Morogoro, wiki iliyopita.

Katika dakika kumi za mwisho wapenzi wa yanga walijikuta wakiomba mchezo umalizike baada ya JKT Ruvu kucheza mchezo mkali. Wapenzi wa simba walionekana kushangilia hali hiyo ambayo hata hivyo matokeo yakawa 4-1. INAENDELEA PG YA SPOTI, BOFYA

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages