|
CHARLES CHARLES |
NA CHARLES CHARLES
MJANE wa mmoja kati ya wafuasi watatu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) waliouawa wakati wa maandamano ya vurugu, ghasia na kinyume cha sheria mjini Arusha hapo Januari 5, mwaka jana, Asia Omar, amekishutumu chama hicho kwa ‘kutafuna’ fedha za rambirambi zilizochangwa kwa ajili marehemu mumewe, Ismail Omar.
Asia ambaye aliachiwa watoto wadogo wawili na mumewe, alifichua siri hiyo alipokuwa akiongea kwenye mkutano wa chama cha Civic United Front (CUF), uliofanyika hivi karibuni katika Uwanja wa Levolosi mjini humo na kusema hadi sasa, viongozi wa Chadema bado hawajamkabidhi fedha hizo ambazo walichangisha kwenye Uwanja wa NMC Januari 6, mwaka jana, wakati wa kuaga mwili wa marehemu mumewe...
INAENDELEA, BOFYA HAPA
No comments:
Post a Comment
Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269