Breaking News

Your Ad Spot

Oct 10, 2012

RAIS KIKWETE AMWAAPISHA MKUU MPYA WA JESHI LA MAGEREZA TANZANIA

 Amirijeshi Mkuu wa majeshi ya Ulinzi na Usalama Tanzania, Rais Jakaya Kikwete akimwapisha Mkuu mpya wa Jeshi la Magereza Tanzania, Kamishna Jenerali  John Casmir  Minja, Ikulu jijini Dar es Salaam leo aubuhi.
Rais Kikwete akimkabidhi nyenzo baada ya kumwapisha Mkuu huyo  mpya wa Jeshi la Magereza nchini, Kamishna Jenerali John Casmir Minja, (Picha zote na Freddy Maro)

1 comment:

  1. Ni wakat wako kulifanya jesh lijiendeshe kisayans zaidi

    ReplyDelete

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages